Waamuzi 8:5
Waamuzi 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali wapeni wenzangu hawa mikate maana wamechoka sana; nami bado ninaendelea kuwafuatia wafalme Zeba na Salmuna wa Midiani.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akawaambia watu wa Sukothi, Tafadhali wapeni mikate hao watu waniandamao; kwa maana wameishiwa na nguvu, nami ni katika kuwafuatia Zeba na Salmuna, wafalme wa Midiani.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8