Waamuzi 8:4
Waamuzi 8:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Gideoni akafika Yordani, akauvuka, yeye na hao watu mia tatu waliokuwa pamoja naye, walikuwa wamepungukiwa na nguvu, lakini wawafuatia vivyo.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni na wenzake 300 wakafika Yordani, wakavuka. Ingawa walikuwa wamechoka sana, waliendelea kuwafuatia adui zao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Gideoni akafika Yordani, akauvuka, yeye na hao watu mia tatu waliokuwa pamoja naye, walikuwa wamechoka, lakini waliendelea kuwafuatilia adui.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8