Waamuzi 8:26
Waamuzi 8:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Uzito wa vipuli vyote alivyowataka wampe ulikuwa kilo ishirini. Zaidi ya hivyo, alipokea pia herini, mavazi ya urujuani yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani na mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia wao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na uzani wa hizo herini za dhahabu alizozitaka ulipata shekeli za dhahabu elfu moja na mia saba; mbali na makoja na vidani, na mavazi ya rangi ya zambarau waliyokuwa wameyavaa hao wafalme wa Midiani, tena mbali na mikufu iliyokuwa katika shingo za ngamia wao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na uzani wa hizo pete za dhahabu alizozitaka ulipata shekeli za dhahabu elfu moja na mia saba; mbali na makoja na vidani, na mavazi ya rangi ya zambarau waliyokuwa wameyavaa hao wafalme wa Midiani, tena mbali na mikufu iliyokuwa katika shingo za ngamia zao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8