Waamuzi 8:21
Waamuzi 8:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Zeba na Salmuna wakasema, “Tuue wewe mwenyewe, maana hii ni kazi ya mtu mzima.” Gideoni akawaua yeye mwenyewe na kuchukua mapambo yao yaliyokuwa shingoni mwa ngamia wao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo hapo Zeba na Salmuna wakasema, Simama wewe utuue sisi; kwa maana kama mtu alivyo, ndivyo zilivyo nguvu zake. Basi Gideoni akasimama, akawaua Zeba na Salmuna, akazitwaa koja zilizokuwa katika shingo za ngamia wao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo hapo Zeba na Salmuna wakasema, Simama wewe ukatuangukie sisi; kwa maana kama mtu alivyo, ndivyo zilivyo nguvu zake. Basi Gideoni akasimama, akawaua Zeba na Salmuna, akazitwaa koja zilizokuwa katika shingo za ngamia zao.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8