Waamuzi 8:20
Waamuzi 8:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akamwambia Yetheri, mzaliwa wake wa kwanza, “Simama, uwaue.” Lakini Yetheri aliogopa kuchukua upanga wake maana alikuwa bado kijana.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akamwambia Yetheri mwanawe mzaliwa wa kwanza, Haya, simama, uwaue hawa. Lakini huyo kijana hakutoa upanga wake; maana, akaogopa, kwa sababu alikuwa ni kijana tu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8