Waamuzi 8:19
Waamuzi 8:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akawaambia, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu mzazi. Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kama msingewaua, hata mimi nisingewaua.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akasema, Watu hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu; kama yeye BWANA aishivyo, kama mngaliwaokoa hai watu hao, nami nisingewaua ninyi.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8