Waamuzi 8:18
Waamuzi 8:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, akawauliza Zeba na Salmuna, “Watu wale mliowaua huko Tabori walikuwaje?” Wakamjibu, “Walifanana na wewe, maana walionekana kama wana wa mfalme.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akawaambia hao Zeba na Salmuna, Hao watu mliowaua huko Tabori walikuwa watu wa namna gani? Wakamjibu, Walikuwa kama wewe ulivyo; kila mmoja alikuwa anafanana na wana wa mfalme.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8