Waamuzi 8:11
Waamuzi 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni akafuata njia ya magharibi iliyo mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia jeshi hilo ambalo halikuwa tayari.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Gideoni alikwea kwa njia iliyotumiwa na misafara, ambayo ilikuwa mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia hilo jeshi; kwa maana lile jeshi halikuwa na hadhari.
Shirikisha
Soma Waamuzi 8