Waamuzi 7:17
Waamuzi 7:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaambia, “Mniangalie na kufanya sawa kama nitakavyofanya wakati nitakapofika kambini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7Waamuzi 7:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Nitazameni, mkafanye kama nifanyavyo mimi; angalieni, nitakapofika mwisho wa kambi, itakuwa, nifanyavyo mimi nanyi fanyeni vivyo hivyo.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7