Waamuzi 6:10
Waamuzi 6:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kisha niliwaambia, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu; msiiche miungu ya Waamori, ambayo mwaketi katika nchi yao; lakini hamkuitii sauti yangu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikawakumbusheni kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; na kwamba msiiheshimu miungu ya Waamori, ambao nchi yao mmeichukua, lakini hamkuisikiliza sauti yangu.’”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kisha niliwaambia, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu; msiiche miungu ya Waamori, ambayo mnakaa katika nchi yao; lakini hamkuitii sauti yangu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6