Waamuzi 3:9
Waamuzi 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawapelekea mtu wa kuwakomboa yaani, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 3Waamuzi 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wana wa Israeli walipomlilia BWANA, BWANA akawainulia wana wa Israeli mwokozi, aliyewaokoa, yaani, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 3