Waamuzi 3:1-2
Waamuzi 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliyaacha nchini mataifa yafuatayo ili kuwajaribu Waisraeli ambao walikuwa hawajapigana vita katika nchi ya Kanaani (alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita)
Waamuzi 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi haya ndiyo mataifa ambao BWANA aliwaacha, ili awajaribu Israeli kwa hao, yaani, awajaribu hao wote ambao hawakuvijua vita vyote vya Kanaani; ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa wao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule
Waamuzi 3:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)