Waamuzi 2:7
Waamuzi 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walimtumikia Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha ya Yoshua na baada ya kifo chake muda wote walioishi wale wazee waliosalia ambao waliyaona matendo makuu ambayo Mwenyezi-Mungu aliwatendea Waisraeli.
Shirikisha
Soma Waamuzi 2Waamuzi 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu hao wakamtumikia BWANA siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioendelea siku zao baada ya Yoshua, hao waliokuwa wameiona hiyo kazi kubwa ya BWANA yote, aliyokuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.
Shirikisha
Soma Waamuzi 2