Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 2:2 - Compare All Versions

Waamuzi 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Na kwa upande wenu niliwaamuru msifanye agano na wenyeji wa nchi hii na kwamba madhabahu zao mtazibomoa. Lakini nyinyi hamkuitii amri yangu. Kwa nini mambo haya?

Shirikisha
Waamuzi 2 BHN

Waamuzi 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yabomoeni madhabahu yao; lakini hamkuisikia sauti yangu; je! Mmefanya haya kwa sababu gani?

Shirikisha
Waamuzi 2 SRUV

Waamuzi 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

nanyi msifanye agano lo lote na hawa wenyeji wa nchi hii; zipomosheni nchi madhabahu zao; lakini hamkuisikia sauti yangu; je! Mmefanya haya kwa sababu gani?

Shirikisha
Waamuzi 2 SUV

Waamuzi 2:2 NEN (Neno)

Msifanye agano na watu wa nchi hii, bali mtabomoa madhabahu yao.’ Lakini ninyi hamkunitii mimi. Kwa nini mmefanya jambo hili?

Shirikisha
Waamuzi 2 NEN