Waamuzi 17:7
Waamuzi 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17Waamuzi 17:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alikuwako mtu kijana mmoja mwanamume aliyetoka Bethlehemu-yuda, wa jamaa ya Yuda, aliyekuwa Mlawi, naye akakaa huko kama mgeni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17