Waamuzi 17:6
Waamuzi 17:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Katika siku hizo, Waisraeli hawakuwa na mfalme; kila mtu alifanya alivyoona ni vyema machoni pake.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17Waamuzi 17:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17Waamuzi 17:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17