Waamuzi 17:5
Waamuzi 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu huyo, Mika, alikuwa na mahali pake pa ibada. Alitengeneza kizibao cha kuhani na kinyago, kisha akamfanya mmoja wa watoto wake kuwa kuhani wake.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17Waamuzi 17:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya miungu, naye akafanya naivera, na kinyago, akamweka wakfu mmoja miongoni mwa wanawe, akawa kuhani wake.
Shirikisha
Soma Waamuzi 17