Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 17:1 - Compare All Versions

Waamuzi 17:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Kulikuwa na mtu mmoja huko katika milima ya Efraimu, jina lake Mika.

Shirikisha
Waamuzi 17 BHN

Waamuzi 17:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati huo alikuwako mtu mmoja wa nchi ya vilima ya Efraimu, aliyeitwa Mika.

Shirikisha
Waamuzi 17 SRUV

Waamuzi 17:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati huo alikuwako mtu mmoja wa nchi ya vilima ya Efraimu, ambaye jina lake alikuwa akiitwa Mika.

Shirikisha
Waamuzi 17 SUV

Waamuzi 17:1 NEN (Neno)

Palikuwa na mtu aliyeitwa Mika kutoka nchi ya vilima ya Efraimu.

Shirikisha
Waamuzi 17 NEN