Waamuzi 16:1 - Compare All Versions
Waamuzi 16:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye.
Shirikisha
Waamuzi 16 BHNWaamuzi 16:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.
Shirikisha
Waamuzi 16 SRUVWaamuzi 16:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.
Shirikisha
Waamuzi 16 SUVWaamuzi 16:1 NEN (Neno)
Siku moja Samsoni alienda Gaza, akamwona mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
Shirikisha
Waamuzi 16 NEN