Waamuzi 14:6
Waamuzi 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi. Naye Samsoni hakuwaambia wazazi wake kisa hicho.
Shirikisha
Soma Waamuzi 14Waamuzi 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Roho ya BWANA ikamjia kwa nguvu, naye akampasua kana kwamba anampasua mwana-mbuzi, wala hakuwa na kitu chochote mkononi mwake; lakini hakuwaambia baba yake na mama yake aliyoyafanya.
Shirikisha
Soma Waamuzi 14