Waamuzi 13:1
Waamuzi 13:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Waisraeli wakafanya maovu tena mbele za BWANA. Hivyo BWANA akawatia mikononi mwa Wafilisti kwa muda wa miaka arobaini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 13Waamuzi 13:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye akawaacha watawaliwe na Wafilisti kwa miaka arubaini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 13Waamuzi 13:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wana wa Israeli wakafanya tena yaliyo mabaya mbele za macho ya BWANA, BWANA akawatia katika mikono ya Wafilisti, muda wa miaka arubaini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 13