Waamuzi 12:7
Waamuzi 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.
Shirikisha
Soma Waamuzi 12Waamuzi 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huyo Yeftha akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka sita. Ndipo akafa Yeftha, Mgileadi, akazikwa katika miji ya Gileadi mmojawapo.
Shirikisha
Soma Waamuzi 12