Waamuzi 11:29
Waamuzi 11:29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo roho ya BWANA ikamjilia juu yake Yeftha, naye akapita katika Gileadi na Manase, akapita na katika Mispa ya Gileadi, na kutoka hapo Mispa ya Gileadi akapita kuwaendea wana wa Amoni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 11Waamuzi 11:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha roho ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Yeftha, naye akaondoka na kupitia Gileadi na Manase, akarudi Mizpa katika nchi ya Gileadi na kuendelea hadi Amoni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 11Waamuzi 11:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Roho ya BWANA ikamjia Yeftha, naye akapita katika Gileadi na Manase, akapita na katika Mispa ya Gileadi, na kutoka hapo Mispa ya Gileadi akapita kuwaendea wana wa Amoni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 11