Waamuzi 1:19
Waamuzi 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na watu wa kabila la Yuda, nao wakaiteka nchi ya milima. Lakini hawakuweza kuwashinda wenyeji wa nchi tambarare kwa sababu magari yao ya vita yalikuwa ya chuma.
Shirikisha
Soma Waamuzi 1Waamuzi 1:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA alikuwa pamoja na Yuda; naye akawafukuza watu waliokaa katika nchi yenye milima; asiweze kuwafukuza hao waliokaa katika hilo bonde, kwa kuwa wao walikuwa na magari ya chuma.
Shirikisha
Soma Waamuzi 1