Waamuzi 1:1
Waamuzi 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kifo cha Yoshua, Waisraeli walimwuliza Mwenyezi-Mungu: “Mwenyezi-Mungu, ni kabila gani litakwenda kupigana kwanza na Wakanaani?”
Shirikisha
Soma Waamuzi 1Waamuzi 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa baada ya kufa kwake Yoshua, wana wa Israeli wakamwuliza BWANA, wakisema, Ni nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu juu ya Wakanaani, ili kupigana nao?
Shirikisha
Soma Waamuzi 1