Yakobo 5:17
Yakobo 5:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia sawa na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.
Shirikisha
Soma Yakobo 5