Yakobo 3:7-8
Yakobo 3:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini. Lakini hakuna mtu aliyefaulu kuufuga ulimi. Ulimi ni kitu kiovu, hakitawaliki, na kimejaa sumu inayoua.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu. Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yakobo 3