Yakobo 3:14
Yakobo 3:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.
Shirikisha
Soma Yakobo 3