Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:25 - Compare All Versions

Yakobo 2:25 BHN (Biblia Habari Njema)

Ilikuwa vivyo hivyo kuhusu yule malaya Rahabu; yeye alikubaliwa kuwa mwadilifu kwa sababu aliwapokea wale wapelelezi na kuwasaidia waende zao kwa kupitia njia nyingine.

Shirikisha
Yakobo 2 BHN

Yakobo 2:25 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?

Shirikisha
Yakobo 2 SRUV

Yakobo 2:25 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?

Shirikisha
Yakobo 2 SUV

Yakobo 2:25 NEN (Neno)

Vivyo hivyo, hata Rahabu, yule kahaba: je, hakuhesabiwa haki kwa yale aliyotenda alipowapokea wale wapelelezi na kuwaambia waende njia nyingine?

Shirikisha
Yakobo 2 NEN