Yakobo 2:21-22
Yakobo 2:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, Abrahamu babu yetu alipataje kukubaliwa kuwa mwadilifu? Kwa matendo yake, wakati alipomtoa tambiko mwanawe Isaka juu ya madhabahu. Waona, basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Baba yetu Abrahamu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu? Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:21-22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu? Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.
Shirikisha
Soma Yakobo 2