Yakobo 2:20-21
Yakobo 2:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu wee! Je, wataka kuoneshwa kwamba imani bila matendo imekufa? Je, Abrahamu babu yetu alipataje kukubaliwa kuwa mwadilifu? Kwa matendo yake, wakati alipomtoa tambiko mwanawe Isaka juu ya madhabahu.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wataka kujua, wewe mwanadamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai? Je! Baba yetu Abrahamu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu?
Shirikisha
Soma Yakobo 2