Yakobo 2:15-16
Yakobo 2:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Tuseme kaka au dada hana nguo au chakula. Yafaa kitu gani nyinyi kuwaambia hao: “Nendeni salama mkaote moto na kushiba,” bila kuwapatia mahitaji yao ya maisha?
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki, na mmoja wenu akawaambia, Nendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya kimwili, yafaa nini?
Shirikisha
Soma Yakobo 2