Yakobo 2:12-13
Yakobo 2:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru. Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:12-13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hivyo semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ile iletayo uhuru. Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria iletayo uhuru. Maana, Mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu mtu asiyekuwa na huruma. Lakini huruma hushinda hukumu.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru. Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
Shirikisha
Soma Yakobo 2