Yakobo 1:5
Yakobo 1:5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima, basi amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama mmoja wenu ametindikiwa hekima, basi, anapaswa kumwomba Mungu ambaye atampatia; kwani Mungu huwapa wote kwa wingi na kwa ukarimu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
Shirikisha
Soma Yakobo 1