Yakobo 1:14-15
Yakobo 1:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya. Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya. Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yakobo 1