Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:14 - Compare All Versions

Yakobo 1:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.

Shirikisha
Yakobo 1 BHN

Yakobo 1:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.

Shirikisha
Yakobo 1 SRUV

Yakobo 1:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.

Shirikisha
Yakobo 1 SUV

Yakobo 1:14 NEN (Neno)

Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya.

Shirikisha
Yakobo 1 NEN