Yakobo 1:1-2
Yakobo 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi, makabila kumi na mawili, yaliyotawanyika ulimwenguni! Salamu! Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo, mtumwa wa Mungu, na wa Bwana Yesu Kristo, kwa makabila kumi na mawili waliotawanyika; salamu. Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yakobo, mtumwa wa Mungu, na wa Bwana Yesu Kristo, kwa kabila kumi na mbili waliotawanyika; salamu. Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali
Shirikisha
Soma Yakobo 1