Isaya 8:14
Isaya 8:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitakuwa kimbilio, nitakuwa pia kama jiwe la kujikwaa, mwamba wa kuziangusha falme za Israeli na Yuda; nitakuwa mtego wa kuwatega na kuwanasa wakazi wa Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 8Isaya 8:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atakuwa ni mahali patakatifu; bali ni jiwe la kujikwaza na mwamba wa kujikwaa kwa nyumba za Israeli zote mbili, na mtego na tanzi kwa wenyeji wa Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 8