Isaya 8:12
Isaya 8:12 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu.
Shirikisha
Soma Isaya 8Isaya 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu.
Shirikisha
Soma Isaya 8Isaya 8:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiseme, Ni njama, kuhusu mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni njama; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.
Shirikisha
Soma Isaya 8