Isaya 64:10
Isaya 64:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Miji yako mitakatifu imekuwa nyika; Siyoni umekuwa mahame, Yerusalemu umekuwa uharibifu.
Shirikisha
Soma Isaya 64Isaya 64:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa, Sayuni umekuwa jangwa, Yerusalemu umekuwa ukiwa.
Shirikisha
Soma Isaya 64