Isaya 62:8
Isaya 62:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ameapa kwa mkono wake wa kulia, naam, ameapa kwa mkono wake wenye nguvu akisema: “Sitawapa tena maadui zako nafaka yako; wala wageni hawatakunywa tena divai yako ambayo umeitolea jasho.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ameapa kwa mkono wake wa kulia, na kwa mkono wa nguvu zake, Hakika sitawapa adui zako nafaka yako tena kuwa chakula chao; wala wageni hawatakunywa divai yako, uliyoifanyia kazi.
Shirikisha
Soma Isaya 62