Isaya 62:7
Isaya 62:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:7 Biblia Habari Njema (BHN)
msimpe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika mji wa Yerusalemu, na kuufanya uwe fahari ulimwenguni kote.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:7 Biblia Habari Njema (BHN)
msimpe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika mji wa Yerusalemu, na kuufanya uwe fahari ulimwenguni kote.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala msimwache akae kimya, mpaka atakapouimarisha Yerusalemu, na kuufanya usifike kote duniani.
Shirikisha
Soma Isaya 62