Isaya 60:5
Isaya 60:5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ndipo utatazama na kutiwa nuru, moyo wako utasisimka na kujaa furaha, mali iliyo baharini italetwa kwako, utajiri wa mataifa utakujilia.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo utakapoona na kutiwa nuru, Na moyo wako utatetemeka na kukunjuka; Kwa kuwa wingi wa bahari utageuzwa kukujia, Utajiri wa mataifa utakuwasilia.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Utaona na uso wako utangara, moyo wako utasisimka na kushangilia. Maana utajiri wa bahari utakutiririkia, mali za mataifa zitaletwa kwako.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo utakapoona na kutiwa nuru, Na moyo wako utatetemeka na kukunjuka; Kwa kuwa wingi wa bahari utageuzwa kukujia, Utajiri wa mataifa utakuwasilia.
Shirikisha
Soma Isaya 60