Isaya 60:21
Isaya 60:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Hao ni chipukizi nililopanda mimi, kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele; Wao ni chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe, Kazi ya mikono yangu mwenyewe, Ili mimi nitukuzwe.
Shirikisha
Soma Isaya 60