Isaya 60:11
Isaya 60:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Huku wakiwaongoza wafalme wao.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Malango yako yatakuwa wazi daima; usiku na mchana hayatafungwa, ili watu wakuletee utajiri wa mataifa, pamoja na wafalme wao katika maandamano.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Huku wakiwaongoza wafalme wao.
Shirikisha
Soma Isaya 60