Isaya 60:1-2
Isaya 60:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Inuka ee Siyoni uangaze; maana mwanga unachomoza kwa ajili yako, utukufu wa Mwenyezi-Mungu unakuangaza. Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa BWANA umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika makabila ya watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa BWANA umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Shirikisha
Soma Isaya 60