Isaya 6:11
Isaya 6:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nikauliza, “Bwana, mpaka lini?” Naye akanijibu, “Mpaka hapo miji itakapobaki tupu bila wakazi, nyumba bila watu, na nchi itakapoharibiwa kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 6Isaya 6:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo nilipouliza, Ee Bwana, hata lini? Naye akanijibu, Hadi miji itakapokuwa ukiwa, haina wenyeji, na nyumba zitakapokuwa hazina watu, na nchi hii itakapokuwa ganjo kabisa
Shirikisha
Soma Isaya 6