Isaya 58:9
Isaya 58:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo mtakapoomba, nami Mwenyezi-Mungu nitawaitikia; mtalia kwa sauti kuomba msaada, nami nitajibu, ‘Niko hapa!’ “Kama mkiiondoa dhuluma kati yenu, mkiacha kudharau wengine na kusema maovu
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu
Shirikisha
Soma Isaya 58