Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 58:6 - Linganisha Matoleo Yote

Isaya 58:6 BHN (Biblia Habari Njema)

“La! Mfungo ninaotaka mimi ni huu: Kuwafungulia waliofungwa bila haki, kuziondoa kamba za utumwa, kuwaachia huru wanaokandamizwa, na kuvunjilia mbali udhalimu wote!

Shirikisha
Isaya 58 BHN

Isaya 58:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?

Shirikisha
Isaya 58 SUV

Isaya 58:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?

Shirikisha
Isaya 58 SRUV

Isaya 58:6 NEN (Neno)

“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: kufungua minyororo ya udhalimu, na kufungua kamba za nira, kuwaweka huru waliodhulumiwa, na kuvunja kila nira?

Shirikisha
Isaya 58 NEN