Isaya 58:2
Isaya 58:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hata siku wananijia kuniabudu, wanatamani kujua mwongozo wangu, kana kwamba wao ni taifa litendalo haki, taifa lisilosahau sheria za Mungu wao. Wananitaka niamue kwa haki, na kutamani kukaa karibu na Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 58